Umekuwa haramiya, menifanya niwe bubu
Wanishuku nina yahya, na mengine ya aibu
Pete yako yanibana, ni kheri nikutaliki.
Funda chungu nalimeza, na chozi lakundodoka
Bezo zako sitaeza, umezidisha mahoka
Katu sioni mwangaza, yalo mbele ni mizuka
Pete yako yanibana, ni kheri nikutaliki.
Malenga Wa Nchi Kavu©2015
Bezo zako sitaeza, umezidisha mahoka
Katu sioni mwangaza, yalo mbele ni mizuka
Pete yako yanibana, ni kheri nikutaliki.
Malenga Wa Nchi Kavu©2015
No comments:
Post a Comment